Joshua Vs Ngannou updates

mozilla

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
770
Reaction score
1,222
Wadau wa masumbwi habari zenu!

Katika pita zangu humu sijaona uzi wowote wa hili pambano, nimeona nifungue uzi ili tuabarishane

Ijumaa tarehe 08 uko Riyadh kuna pambano la kukata na shoka kati ya Joshua vs Ngannou, naomba uzi huu uwe wa updates kuelekea hili pambano.

Mwenye taharifa zozote za hili pambano litaonyeshwa station gani/saa ngap kwa muda wetu Tz atueleze, na mwenye updates mbali mbali tu’share.
 
Na yule bondia mwenye walinzi wanajeshi military police mwenye mbwembwe alishinda?
 
Ngija tumuone ngannou atafanya nini kwa joshua, pale kwa tyson fury kuna namna ilitendeka ya kihuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…