Joslin - Mshkaji mmoja(Lyrics)

Joslin - Mshkaji mmoja(Lyrics)

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
KIITIKIO:

Haijalishi we ni nani, haijalishi we ni tajiri au maskiniiii
(Huwez kuona hivi)
Haijalishi we ni nani, ukiupata, usubiri kifoo ooo.
(Story ya mshkaji mmoja hivi)

(Weweee)

UBETI WA 1:
Alikua fresh ukijumlisha ana cash,
Msafi ukimuona utampa tu respect,
Ni mcheshi alikua anapenda skirt,
Anapenda mitungi lakin si mtu wa vijiti,
Akili yupo safi, Class namba moja,
Alikua anatembea na mmoja baada ya mmoja,
Baada ya muda tu kimtindo akatutosa,
Alipogundua kwamba anafanya makosa,
Aliona aibu tayari tushamjua,
Kwamba anapenda mademu kwa hiyo tutamzingua,
Akawa anauchuna hataki hata kutuona,
Home hataki kuja eti kisa anaona noma,
Si hatukumtenga tulizidi kumpenda, Tulitaka kumwambia basi apunguze kuchenga,
Na kama atashindwa kabisa atumie kinga,
Akatuona mastupid, eti kwamba si wajinga.

(Huwezi kuona hivi)

UBETI WA 2:
Tukaja kusikia kuna demu ye alimng'ata,
Ambaye alikua na ngoma na tayari kashavuta,
Na school kuna demu inavyoonekana atafata,
Yupo mahututi na mchiz alishapita,
Akaenda kupima, akajikuta hana ngoma,
Akaja kutuambia yupo na furaha kinoma,
Tulichomwambia basi akazane kusoma,
Aachane na mabitches,
Mungu kampenda sana,
Mara akaamua tufanye sherehe kidogo,
Twende bar tukapige mtungi mdogo mdogo
Baada ya muda mshkaji akawa high kinoma,
Washkaji pembeni kumbe long time washazima,
Tukakutana na teacher huku tumelewa,
Mshkaji kamuomba game halafu teacher kamuelewa,
Wakatambaa mshkaji namshangaa na,
Teacher simuelewi anaondoka yuko na furaha,
Pombe zilipomtoka akaanza kujuta kosa,
Tendo alilolifanya na teacher ake wa darasa,
Mbaya zaid hakutumia kinga kabisa,
Ikaanza kumuumiza na mawazo kumtesa,
Teacher akaja halafu akatuambia,
Kwamba mchiz alimpenda ndo maana alifurahia,
Kwahyo anaomba msamaha kwa tendo alilomfanyia,
Maana alikua na UKIMWI hakutaka kumwambia,
Anadai alimpenda kinoma ndo maana alishindwa,
Kumwambia ukweli ikabidi afanye kibingwa,
Teacher kaachia, mchizi nae kaingia,
Ooh my God basi tena life ndo ivo ishapotea,

Rudia kiitikio
 
Oi dogo uliishia wapi [emoji16]
 
Back
Top Bottom