Sikatai Joti yuko after Mpunga na ni kwa Faida na masirahi yake ni jambo lililo jema kabisa. Juu ya uwezo wake Wa kuigiza sina Mashaka he is a special celebrity hapa Bongo.
Kuhusu cc watu wazima sina shaka nalo kwa sababu tunaelewa nn anachokifanya na anachotafuta, ila Kwa kuwatazama watt wetu inawaharibu maana watt wanajifunza na kuiga tabia hii ya kishoga shoga hasa watt wa kiume.
Joti anauwezo mkubwa mno Wa kuigiza, akanogesha na kueleweka bila kuharibu maadili ya taifa letu hasa kupitia wtt ambao ni taifa la kesho.
[emoji116]
View attachment 970913