Joti anapoelekea watu watalazimika kumu "unfollow"

Martin lawrence sheneneh
Tatizo kwa Joti ni kwamba anafanya too much bila ya kuonekana lengo la maana zaidi ya kuongea tuuuu.

Sidhani kama ni sawa kumlinganisha na sheneneh ambaye anakuwa na 'action' na character inaonekana na maana inaonekana....huwezi kumuona Sheneneh amefanya make ups za kike na kuishia kuongea tuu bila ulazima wowote.
 
Sio kaz ndogo kumchekesha mtu....ila kumliza mtu ni kitu cha sekunde hata mtoto mchanga anaweza
 

Amuige hata huyu
 

Attachments

  • 1467870735500.jpg
    52.5 KB · Views: 45
Hizi za wanaume kujifanya wanawake ni issue za kijinga sana katika jamii
kwani hakuna wanawake wanaoweza kuigiza kama yeye? Tunapopinga ushoga tupinge pia na catalyst za ushonga.
Kirahisi tu ni kwamba wanaigiza uhalisia kuna jamaa ni mchekeshaji kwenye TV namba moja ya vijana ea anaigiza kike na madela daily nimeshangaa yani jamaa ni analiwa kabisa(kipindi cha mfungo)alistop ila baada ya hapo daily anatimba kwa msela kama mke kabisa shortly ni kwamba hawa watu wanaprctice hizo tabia japo kwa joti sina uhakika ila baada ya kumcheki yule jamaa basi nikafuta na kudelete kabisa.
 
Mkuu sasa comedian wote wakivaa suti itakuwaje sasa? By the way kila kitu kina choices wewe unapenda comedian wa kuvaa suti kuna wanaompenda Joti ktk that style si kila unachopenda wewe wote wapende! We mu un follow Joti mfollow kelvin hart or omondi!
 
Ndo ugali wake we kama utamfikirin uonavyo its ok tu jamaa talented bhana
 
Ni kum anfolo tu yasije kujumba matatizo.
 
Hata Mimi nshawahi kufikiria hivyo....!!!,kuna kitu sio bure mwanamme kupenda kuigiza like hyo kazi.......kuna kitu..ni swala la muda tu
 
Matendo ya mtu hunena yaliyoujaza Moyo wake. Mwacheni mpiga kampeni wetu wa CCM.
 
Ni mawazo potofu. Mwanamke amekuwa ni laana au kuzaliwa mwanamke ni laana? Kiasi hata msanii wa kiume akiigiza nafasi ya Mwanamke anaonekana kama kalaaniwa? Haishangazi kusikia watu kama mtoa mada wakitamka tusi la kike kuelekeza kwa mwanaume au kumdhihaki mwanaume kwa kumuita "we Mama" bila chembe ya ukakasi na soni. Kama fikra zako zimekubuhu dharau na mtazamo finyu kiasi cha kuhalalisha kwamba mwanamke ni dhaifu na dhalili kiasi hicho umewahi kufikiria ujasiri wa Mama alokuzaa kisha ukamalizia kutafakari uvumilivu wa Mkeo (kama unaye) japo kwa dk chache? Sitaki kujua umri wako ila suala la Mwanaume kuigiza nafasi ya Mwanamke haikuanza juzi wala jana ktk dunia hii, yalikuwapo tangu enzi ya Kumbi za sanaa za maonesho kabla ya "fulati sikirini". Wewe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…