PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Utashangaa ni tangazo! Joti sio mtu wakuchukuliwa serious
Sawa, ingawaje mi harusini hata kwa mtutu wa bunduki au risasi za lissu huwa siendi! Mtatuwakilishamkuu hii ni kitu iko serious
Mchango itabidi nkutumie namb yang ya mpesa me ntaiwasilsha mkuuSawa mkuu, kuna utaratibu gani nami nichangie harusi ya mfurahishaji ?
Haina nouma mkuuSawa, ingawaje mi harusini hata kwa mtutu wa bunduki au risasi za lissu huwa siendi! Mtatuwakilisha
Kwann uwendiSawa, ingawaje mi harusini hata kwa mtutu wa bunduki au risasi za lissu huwa siendi! Mtatuwakilisha
Mhhhh.....Kumbe Joti ni Mwanaume
Kama mimi ninavyoshangaa mkuuDaah!!
Imebidi nishangae tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atavaa gauni?
Atavaa gauni?
Na mimi kiukweli ninakosa uhakika maana nimesikia Anafunga ndoa kuangalia picha nakuta wote wanawake nakajiuliza nani anaoa au kuolewa?Mhhhh.....
Sina uhakika..[emoji45] [emoji45] View attachment 618083