Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joti Na Mkewe "HoneyMoon" Wakiwa Singita Grumeti Game Reserve
Sabora Camp Serengeti
Mkuu hizi mbuga zione tu kwenye TV kuweza kuingia kunamlolongo mrefu lazima uwe na kibali cha tanapakinachoonyesha utakuwepo kwa Siku ngapi na ufanye booking sio unakurupuka tu nyumbani safari itaishia pale gate utakapokutana na wale wajeda awacheki na mtu ni vibali ndivyo vinafanya kazi.... Upande wa pili gharama zipo juu Sana last December nilikuwa Burunge tented lodge IPO tarangire nilipata offer YA honeymoon kwa $500 kwa Siku. wakati nipokule sikuona sura YA mgeni mtanzania zaidi YA wafanyakazi tu, wote wanaokula maisha kule ni ngozi nyeupeee..... Swala, nyumbu, pundamilia na twiga unapishana nao kama bodaboda za dar awaogopi watusijui kwanini watanzania wengi bado hatutembelei mbuga zetu
Huhuhuh..! Upendo ni uleule..!Ndoa za, kimasikini unaoa Leo kesho upo kwenye zege una kimbiza. Mpunga umekata.
Usiwe na chini ya 5Mivi kulala hapo per night ni shs ngapi jamani
Usiwe na chini ya 5Mivi kulala hapo per night ni shs ngapi jamani
Last week nilikuwa huko mzee!! Kuna utaratibu wa malipo wa hovyo kuliko kidnapping ransom!! Na kikubwa nilichogundua kwa haraka ni kuwa ukienda huko wewe Mtanzania unaonekana kama kero!! Kuanzia geti la kuingilia ngorongoro unaanza "kubaguliwa" in case of any misunderstanding jamaa hawatoi ushirikiano kwa "Mzawa" sana sana watakupiga maneno mabaya mabaya hadi ujute kupoteza fedha yako kwenda kuvuna fadhaa!! Niliwahi kuingia maasai mara kenya! Kweli nili enjoy!! Hapa kuna ujinga mwingi! Kwanza ni lazima ulipie kwa Visa card au mastercard tu!! Kama huna hivyo unageuzwa dili! Hivi watanzania wangapi wana hizo card?kero ni nyingi mno hasa ukienda na gari lako binafsi----Mkuu hizi mbuga zione tu kwenye TV kuweza kuingia kunamlolongo mrefu lazima uwe na kibali cha tanapakinachoonyesha utakuwepo kwa Siku ngapi na ufanye booking sio unakurupuka tu nyumbani safari itaishia pale gate utakapokutana na wale wajeda awacheki na mtu ni vibali ndivyo vinafanya kazi.... Upande wa pili gharama zipo juu Sana last December nilikuwa Burunge tented lodge IPO tarangire nilipata offer YA honeymoon kwa $500 kwa Siku. wakati nipokule sikuona sura YA mgeni mtanzania zaidi YA wafanyakazi tu, wote wanaokula maisha kule ni ngozi nyeupeee..... Swala, nyumbu, pundamilia na twiga unapishana nao kama bodaboda za dar awaogopi watu
Ni kweli kabisa kwa gharama nakubaliana nawe, pia tanapa wanawaambia wazawa watembelee mbuga za wanyama lakini kiuhalisia ni ngumu maana milolongo na masharti ni mengi kwa mtanzania wa kawaida lazima akate tamaa.Mkuu hizi mbuga zione tu kwenye TV kuweza kuingia kunamlolongo mrefu lazima uwe na kibali cha tanapakinachoonyesha utakuwepo kwa Siku ngapi na ufanye booking sio unakurupuka tu nyumbani safari itaishia pale gate utakapokutana na wale wajeda awacheki na mtu ni vibali ndivyo vinafanya kazi.... Upande wa pili gharama zipo juu Sana last December nilikuwa Burunge tented lodge IPO tarangire nilipata offer YA honeymoon kwa $500 kwa Siku. wakati nipokule sikuona sura YA mgeni mtanzania zaidi YA wafanyakazi tu, wote wanaokula maisha kule ni ngozi nyeupeee..... Swala, nyumbu, pundamilia na twiga unapishana nao kama bodaboda za dar awaogopi watu
Jumlisha na ubaguzi wa rangi mkuu! Ningehadithiwa ningebisha! Card yangu (master) niliyoitumia siku hiyohiyo pale karatu kufika getini naambiwa haifai!! Watu watatu pamoja na gari yetu tulitakiwa kulipa shilingi 77,800/, wale askari wa getini wakaniambia kwa kuwa kadi yangu haifai niwape wao shilingi 120,000 ili wanisaidie kulipa,nikawaambia hicho ni kiasi kikubwa mno,wakaniambia kama hutaki basi ondoa gari lako hapa sasa hivi!! Nikawauliza niliweke wapi wakati bado sijalipia? Nikawaambia wasubiri kuna mtu nimewasiliana naye anakuja kulipa,wakaondoka,baada ya dakika tatu tu wakarudi! Wakanishurutisha niondoe gari langu pale mara moja kwa kuwa nimekataa msaada wao hivyo sina nia ya kulipa! Wakati tunazozana pale mtu niliyewasiliana naye akaja,akaenda kulipa,akaambiwa network mbaya hivyo tuingie tukalipie makao makuu ya Ngorongoro!wakati huyu mwenye kadi yake alipaswa kurudia tu pale getini,yaani nilijuta kwenda hukoNi kweli kabisa kwa gharama nakubaliana nawe, pia tanapa wanawaambia wazawa watembelee mbuga za wanyama lakini kiuhalisia ni ngumu maana milolongo na masharti ni mengi kwa mtanzania wa kawaida lazima akate tamaa.