Ndoa za, kimasikini unaoa Leo kesho upo kwenye zege una kimbiza. Mpunga umekata.
HahahahaMkuu hizi mbuga zione tu kwenye TV kuweza kuingia kunamlolongo mrefu lazima uwe na kibali cha tanapakinachoonyesha utakuwepo kwa Siku ngapi na ufanye booking sio unakurupuka tu nyumbani safari itaishia pale gate utakapokutana na wale wajeda awacheki na mtu ni vibali ndivyo vinafanya kazi.... Upande wa pili gharama zipo juu Sana last December nilikuwa Burunge tented lodge IPO tarangire nilipata offer YA honeymoon kwa $500 kwa Siku. wakati nipokule sikuona sura YA mgeni mtanzania zaidi YA wafanyakazi tu, wote wanaokula maisha kule ni ngozi nyeupeee..... Swala, nyumbu, pundamilia na twiga unapishana nao kama bodaboda za dar awaogopi watu
Shida ni tipu ukiwapa wanakutreat kama mzungu mbaya sana hiiLast week nilikuwa huko mzee!! Kuna utaratibu wa malipo wa hovyo kuliko kidnapping ransom!! Na kikubwa nilichogundua kwa haraka ni kuwa ukienda huko wewe Mtanzania unaonekana kama kero!! Kuanzia geti la kuingilia ngorongoro unaanza "kubaguliwa" in case of any misunderstanding jamaa hawatoi ushirikiano kwa "Mzawa" sana sana watakupiga maneno mabaya mabaya hadi ujute kupoteza fedha yako kwenda kuvuna fadhaa!! Niliwahi kuingia maasai mara kenya! Kweli nili enjoy!! Hapa kuna ujinga mwingi! Kwanza ni lazima ulipie kwa Visa card au mastercard tu!! Kama huna hivyo unageuzwa dili! Hivi watanzania wangapi wana hizo card?kero ni nyingi mno hasa ukienda na gari lako binafsi----
Haya malalamiko nampa waziri direct tunayafanyia kazi pole sana mkuuLast week nilikuwa huko mzee!! Kuna utaratibu wa malipo wa hovyo kuliko kidnapping ransom!! Na kikubwa nilichogundua kwa haraka ni kuwa ukienda huko wewe Mtanzania unaonekana kama kero!! Kuanzia geti la kuingilia ngorongoro unaanza "kubaguliwa" in case of any misunderstanding jamaa hawatoi ushirikiano kwa "Mzawa" sana sana watakupiga maneno mabaya mabaya hadi ujute kupoteza fedha yako kwenda kuvuna fadhaa!! Niliwahi kuingia maasai mara kenya! Kweli nili enjoy!! Hapa kuna ujinga mwingi! Kwanza ni lazima ulipie kwa Visa card au mastercard tu!! Kama huna hivyo unageuzwa dili! Hivi watanzania wangapi wana hizo card?kero ni nyingi mno hasa ukienda na gari lako binafsi----
tunashugulikia haya malalamiko tutatumwa watu wetu soon mtapata matokeoMkuu acha kabisa Bora Wewe ulienda camp ambazo zipo karibu na uduma za kibank au malipo.... Hiyo niliyoenda unaacha barabara kubwa unaingia ndani 5km unakutana na geti kuna jamaa wa mabakabaka... Jamaaa alichukua doc akazisoma zaidi YA 15min kama vile anamashaka na Sisi tulikuwa na privt car... Ila wazungu walikuwa wakifika hata dakika 5 ni nyingi wanaachiliwa waingie... Yaaan Sisi ngozi nyeusi tumelaaaniwa atudhaminiani kabisa... Hata wahudumu wa kule ndani YA lodge wanadhamini ngozi nyeupe Sana.... Ila tuache utani kwenda porini ni gharama kuliko kwenda south Africa kupumzika.....
Ukilipa cash wale staff wanazipiga ndio mana tulizuia ilo ila kwasasa tutashugulikia hii kero mkuu pole sanaHapo kwenye master card na visa card ni kasheshe lkn ni kwa mbuga za TANAPA tu zingine unalipa hata cash kama mikumi n.k. Wakati umefika hata mitandao ya simu itumike kama wanaogopa kuibiwa cash huko porini. Kumbe tunakataa wenyewe fedha halafu tunalalamikia wananchi hawaendi mbugani.
Fanya hivyo mkuu!! Utaona watalii wazawa watakavyoongezeka kwenye mbuga zetu!Haya malalamiko nampa waziri direct tunayafanyia kazi pole sana mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiii nimechekaNdoa za, kimasikini unaoa Leo kesho upo kwenye zege una kimbiza. Mpunga umekata.
[emoji15] [emoji15] $500 per day!!!uwiiiiMkuu hizi mbuga zione tu kwenye TV kuweza kuingia kunamlolongo mrefu lazima uwe na kibali cha tanapakinachoonyesha utakuwepo kwa Siku ngapi na ufanye booking sio unakurupuka tu nyumbani safari itaishia pale gate utakapokutana na wale wajeda awacheki na mtu ni vibali ndivyo vinafanya kazi.... Upande wa pili gharama zipo juu Sana last December nilikuwa Burunge tented lodge IPO tarangire nilipata offer YA honeymoon kwa $500 kwa Siku. wakati nipokule sikuona sura YA mgeni mtanzania zaidi YA wafanyakazi tu, wote wanaokula maisha kule ni ngozi nyeupeee..... Swala, nyumbu, pundamilia na twiga unapishana nao kama bodaboda za dar awaogopi watu
Yeah ndizo bei za Lodge huko mbugani..Kila kitu ni $ huko utafkiri tupo USA[emoji15] [emoji15] $500 per day!!!uwiiii
Jmn halafu wanatuhamasisha ndo nn ss!? Bora ht nimepita hapa nimesoma nimejua ,looo!Mkuu zile za kishule au zile za Offer ya Ncca kwa basi lao hazina thrilling yoyote!! Ndiyo maana hata wao huwa hawahangaiki nazo,kwanza mnakimbizwa kama mwenge wa uhuru!!hakuna kushuka popote hata getini! Shida ni hizi za kifamilia! Muwe wawili/watatu na kigari chenu binafsi Ndiyo mtanyooka!
Heee makubwa! Kwann wazawa hatutumii shilingi?Yeah ndizo bei za Lodge huko mbugani..Kila kitu ni $ huko utafkiri tupo USA
Nenda tu mkuu! Cha kuhadithiwa ni tofauti na cha kuona!! Ila ndiyo hivyo!utalii wa huko si rafiki kwa mtu mweusi! Nimeambiwa!kisha nikashuhudia mwenyewe,its boring madam,ila mkuu kifinga amesema yeye ana acces na mamlaka hivyo tunategemea atafikisha malalamiko yetu na yatafanyiwa kazi kikamilifu!nililalamika pale geti la ngorongoro/serengeti,yule askari anayecheki vibali akaniambia "unalalamika nini wakati tena tumewapendelea sana tu? Au tukuandikie bili ya wageni mkome?" nikamwambia bora nilipe zaidi kuliko kuonyeshwa ubaguzi wa waziwazi!Jmn halafu wanatuhamasisha ndo nn ss!? Bora ht nimepita hapa nimesoma nimejua ,looo!
kama umedhani hiyo ni mkasi basi hebu jaribu hii>Tanzania Safari Lodge Room Rates |Four Seasons Lodge SerengetiHii hoteli mkasi balaa. Hata hoteli za dar hazifikii bei yake
Ngozi nyeupe wanatoa kitu inaitwa tip ila wakijua ww ni mbongo hawana time na ww wanajua hutoi kitu,naonaga mara 10 kama nna hela yangu niende sehemu kama Zenji au Tanga nikatulize nafsi kuliko kwenda kwenda huko ni karaha tupuMkuu acha kabisa Bora Wewe ulienda camp ambazo zipo karibu na uduma za kibank au malipo.... Hiyo niliyoenda unaacha barabara kubwa unaingia ndani 5km unakutana na geti kuna jamaa wa mabakabaka... Jamaaa alichukua doc akazisoma zaidi YA 15min kama vile anamashaka na Sisi tulikuwa na privt car... Ila wazungu walikuwa wakifika hata dakika 5 ni nyingi wanaachiliwa waingie... Yaaan Sisi ngozi nyeusi tumelaaaniwa atudhaminiani kabisa... Hata wahudumu wa kule ndani YA lodge wanadhamini ngozi nyeupe Sana.... Ila tuache utani kwenda porini ni gharama kuliko kwenda south Africa kupumzika.....
Na kweli mkuu hebu ishughulikie hii inshu,wazawa wanadharaulika sanatunashugulikia haya malalamiko tutatumwa watu wetu soon mtapata matokeo