Joto Hasira- Lady Jaydee ft Prof Jay

Joto Hasira- Lady Jaydee ft Prof Jay

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Chorus:
Hili joto hasira, ambaa Upepo hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa. Foleni njia nzima, ambaa Na pesa hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa

VERSE 1:
siku nimenuna Kwanini tunagombana Tena tunakosoana, kama tumechanganyikiwa Na sioni hata maana Ya si kuzinguana Yaani kila mtu anajua sana Au yote sababu ya?, sababu ya?

Chorus

VERSE 2:
Mazao twalima wote Sahani wavuta kwako Kama chakula tule wote Kwanini chote kije kwako Kisu mpini umeshika wewe Vitisho kunikata mimi mmmmhh Au yote sababu ya? Sababu ya?

Chorus:
Hili joto hasira, ambaa Upepo hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa. Foleni njia nzima, ambaa Na pesa hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa

Hook:
Uuuuh, sahau sahau shida Oooh ishi ka ziliisha jana Say goodbye joto, Rest in Peace Shida Knock, knock money

RAP:
Wenyewe wanasema usawa unakaba Na rafiki wa kweli ni mama na baba Hawa wengine wala usiwaamini Maana binadamu wa sasa wana roho saba Watakuwa na wewe kwenye raha Na hawatakuwa na wewe kwenye njaa Bora nipige misele yangu peke yangu Niruke kivyangu na woga niliukataa

Aaah!! Nabadilika kama saa Na Siku hazigandi na sitokataa tamaa Wamejaa, usaliti na chuki Watu wa karibu wanageuka mamluki Jenero nasonga iwe joto au baridi naamini tutashinda Kama mbwai iwe mbwai barida We make more money rest in peace shida Ukinuna unataka tunune wote Ukilia unataka tulie wote Vita vyako tunapigana wote Tukishinda tushinde au bora tufe wote Kama kulima kote tumelima wote Hata kupanda kote tumepanda wote Kupalilia tumepalilia wote Aaaargggh !!! nashangaa sasa mbona hatuvuni wote??Chorus: Hili joto hasira, ambaa Upepo hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa. Foleni njia nzima, ambaa Na pesa hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa
 
Wenyewe wanasema usawa unakaba
Na rafiki wa kweli ni mama na baba
Hawa wengine wala usiwaamini
Maana binadamu wa sasa wana roho saba
Watakuwa na wewe kwenye raha
Na hawatakuwa na wewe kwenye njaa
Bora nipige misele yangu peke yangu
Niruke kivyangu na woga niliukataa

Aaah!! Nabadilika kama saa
Na Siku hazigandi na sitokataa tamaa
Wamejaa, usaliti na chuki
Watu wa karibu wanageuka mamluki
General nasonga iwe joto au baridi naamini tutashinda
Kama mbwai iwe mbwai barida
We make more money rest in peace shida
Ukinuna unataka tunune wote
Ukilia unataka tulie wote
Vita vyako tunapigana wote
Tukishinda tushinde au bora tufe wote
Kama kulima kote tumelima wote
Hata kupanda kote tumepanda wote
Kupalilia tumepalilia wote
Aaaargggh !!!
nashangaa sasa mbona hatuvuni wote??
 
Back
Top Bottom