mama lubango
Member
- Aug 16, 2011
- 56
- 8
Una maana gani huu wimbo? Mi nimeshindwa kupata message nisaidieni na mie niuelewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kelele tu hamna lolote humo halafu anadai anabaniwa. Ile nyimbo ni bora kutumia kufukuzia nzige mashambani
Haaah. Eti ana sumbuliwa na ndoto anaziandika kwa ma blogs uyu mdada ugumba/utasa vina mtatiza sana uyu jide.
Haeleweki ana maanagani . Hata mi sija mwelewa.
Una maana gani huu wimbo? Mi nimeshindwa kupata message nisaidieni na mie niuelewe
Haaah. Eti ana
sumbuliwa na ndoto anaziandika kwa ma blogs uyu mdada ugumba/utasa vina
mtatiza sana uyu jide.
Haeleweki ana maanagani . Hata mi sija mwelewa.
Ukiona hivyo basi haukuhusu..
Una maana gani huu wimbo? Mi nimeshindwa kupata message nisaidieni na mie niuelewe
Ngoja nikupe beti mbili pamoja na Chorus yake hapa chini. Kama bado hujapata maana yake siwezi kukusaidia zaidi. Sehemu ya RAP is even deeper. Think!!
VERSE 1:
Kila siku nimenuna
Kwanini tunagombana
Tena tunakosoana, kama tumechanganyikiwa
Na sioni hata maana
Ya si kuzinguana
Yaani kila mtu anajua sana
Au yote sababu ya?, sababu ya?
Chorus:
Hili joto hasira, ambaa
Upepo hakuna, ambaa,
Naruka mwenyewe, yelela, yelela, ambaa.
Foleni njia nzima, ambaa
Na pesa hakuna, ambaa,
Naruka mwenyewe, yelela, yelela, ambaa
VERSE 2:
Mazao twalima wote
Sahani wavuta kwako
Kama chakula tule wote
Kwanini chote kije kwako
Kisu mpini umeshika wewe
Vitisho kunikata mimi mmmmhh
Au yote sababu ya? Sababu ya?