Joto kali ukeni

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Wana jf!!

Mpenzi wangu ni mwezi sasa analalamika kuwa nna joto kali sana ukeni hivyo inamuwia vigumu kusex with me.

Je hili ni tatizo kiafya?
 
sio tatizo kwani ndo inavyotakiwa mwanamke kuwa na joto tofauti na mwanaume big up sana wengine hawana.
 
aisee haya mambo mengine hamuezi fanya siri za ndani?...okey nshakujua una joto ukeni....hongera
Natamani aweke picha kwanza ili tujue kiasi cha joto alicho nacho....[emoji13] [emoji13]
 
Wana jf!!

Mpenzi wangu ni mwezi sasa analalamika kuwa nna joto kali sana ukeni hivyo inamuwia vigumu kusex with me.

Je hili ni tatizo kiafya?
Heeeeee itakuwa kaanza kuonja zenye radha kama za kwenye friji.
 
Wana jf!!

Mpenzi wangu ni mwezi sasa analalamika kuwa nna joto kali sana ukeni hivyo inamuwia vigumu kusex with me.

Je hili ni tatizo kiafya?

Aisee what hiyo kitu ndiyo inatafutwa yeye anaikimbia? Kipindi cha kupata mimba hiccho mwambia asiikimbie watu wanatafuta hiyo hali wanakosa za hiyo hali Ache ushamba
 
Upo Africa, Tanzania, Dar es Salaam hyo ni sababu ya kwanza. Ungekuwa upo Greenland, iceland, norway, japan tungehoji kidogo.
wewe ni african, ungekuwa mzungu pia tungehoji.

wengine wanalilia joto, wako halitaki?? Ebo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…