His Eminence
Senior Member
- Sep 22, 2024
- 123
- 376
Idadi ya watu kuongezeka inapelekea kukutana na kashikashi zitokanazo na Joto la Dar kwa sababu linapunguza NGUVU za KIUME kwa maana ya kukosesha hamu ya kufanya mapenzi na hivyo kupelekea tendo la ndoa kuwa lenye kukosa Radha na hivyo kutishia uwajibikaji wa kufanya Hilo tendo lenye malengo mawili, burudani na kuleta watoto Duniani.
- Umejikoki kwenda kugegeda mko room mmeagiza na konyagi Ile kubwa na tonic water mara umeme unakatika,madirisha ya lodge zetu Huwa siyo makubwa sana ama unakuta lodge imebabanishwa kusave kiwanja Kuta zipo karibu hewa hakuna, hapo usitegemee kunachochote kitafanyika zaidi.
- Demu ukute mweusi kapiga na kope za bandia, make-up mixer na wigi na hili Joto uko naye ndani ya lodge zile harufu ya hizo bidhaa zake fake Huwa zinakwamisha zoezi na usimamishaji unakuwa wa kuvuta hisia ama usitokee
- Joto la Dar ukute wote hamjanyoa either kwa kujisahau ama vyovyote vile,umeme umekatika Ac hazifanyi kazi, maji nayo hayatoki usitegemee Kuna kuzama ama uchanuaji wa kujiamini.
Nashauri pesa tuitafute siku za Joto kama hizi mtu weekend unasafiri kwenda mikoa ya jirani kwa ajiri kukwepa madhira yatokanayo na Joto la Dar.