C chobo Member Joined May 4, 2010 Posts 20 Reaction score 3 Jan 5, 2012 #1 Mwanangu anaumri mwaka mjoja na kama nusu ivi . Ananiachanganya kwani mala zote kichwa chake ni cha moto sana kama ana homa ila mwili mwingine uko kawaida je ? Hii inaashilia tatizo lolote kwake
Mwanangu anaumri mwaka mjoja na kama nusu ivi . Ananiachanganya kwani mala zote kichwa chake ni cha moto sana kama ana homa ila mwili mwingine uko kawaida je ? Hii inaashilia tatizo lolote kwake
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Jan 5, 2012 #2 Unajuaje joto la kichwa? Unatumia kipima joto?
Mtalingolo JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 2,181 Reaction score 410 Jan 5, 2012 #3 Nenda hospital wewe,
lovelove Member Joined Aug 22, 2011 Posts 21 Reaction score 3 Jan 6, 2012 #4 kama hana dalili za homa bac ni kawaida, mwanangu alikua hivyo hivyo nkaenda hosp nkaambiwa ni kawaida kwa watoto.
kama hana dalili za homa bac ni kawaida, mwanangu alikua hivyo hivyo nkaenda hosp nkaambiwa ni kawaida kwa watoto.
MATESLAA JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 1,246 Reaction score 75 Jan 7, 2012 #5 huyo mwanao anaumwa ugonjwa wa kichaa au kichwa mbona uwelewekia :embarassed2: