yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Joto la uchaguzi linazidi kupanda.
Kila saa natoka JF naenda Twitter natoka Twitter narudi JF, nazurula mitandaoni kama sina kazi ya kufanya vile.
Na mbaya zaidi sijahakiki kitambulisho, hivyo sipigi kura. Lakini sitaki kupitwa kinachoendelea.
Najua mpo wengi mnaofanana na mimi.
Kama unafanana na mimi changia chochote hapa,