Joto limezidi kuongezeka Dar. Wataalam watusaidie tuishije

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Ndugu zangu, kuanzia mnamo tarehe 10 Desemba mpaka leo tarehe 15 Desemba 2024 sisi WANAUME wa DAR tumeishi kwa tabu sana na hali hii ya hewa.

Joto limekuwa kali sana na hali ya mawingu haijasaidia kulipoozesha.

Usiku wa kuamkia leo imenilazimu kujimwagia maji mara mbili zaidi baada ya kuamshwa na joto kali sana.

Hali hii inatokana na nini?

Wataalam wa afya wanasemaje kuhusu kulikabili joto la Dar?

Chakula cha usiku hakiliki vizuri
 
Kunywa maji mengi kama ngamia
 
Hameni hakufai
 
Ukishtuka usiku......

images (5).jpeg
 
Wanakuambia dar hakuna joto, tafuta hela 😁😁😁

Ila kwa kawaida joto likizidi, solution ni kuwa hydrated tu kwa sababu kama maji mengi yanatoka mwilini, lazma pia maji mengi yaingie mwilini. So usione shida kunywa maji na juice zaidi lakini kuepuka nguo nzito sana kama maisha yako ni ya mtanzania wa kawaida anaetegemea daladala kufanya movements
 
Ndugu zangu, kuanzia mnamo tarehe 10 Desemba mpaka leo tarehe 15 Desemba 2024 sisi WANAUME wa DAR tumeishi kwa tabu sana na hali hii ya hewa.

Joto limekuwa kali sana na hali ya mawingu haijasaidia kulipoozesha.

Usiku wa kuamkia leo imenilazimu kujimwagia maji mara mbili zaidi baada ya kuamshwa na joto kali sana.

Hali hii inatokana na nini?

Wataalam wa afya wanasemaje kuhusu kulikabili joto la Dar?

Chakula cha usiku hakiliki vizuri
Kawaida mawingu yakiwa mengi bila mvua ndivyo joto linavyozidi
 
Ndugu zangu, kuanzia mnamo tarehe 10 Desemba mpaka leo tarehe 15 Desemba 2024 sisi WANAUME wa DAR tumeishi kwa tabu sana na hali hii ya hewa.

Joto limekuwa kali sana na hali ya mawingu haijasaidia kulipoozesha.

Usiku wa kuamkia leo imenilazimu kujimwagia maji mara mbili zaidi baada ya kuamshwa na joto kali sana.

Hali hii inatokana na nini?

Wataalam wa afya wanasemaje kuhusu kulikabili joto la Dar?

Chakula cha usiku hakiliki vizuri
Kila tabu ni Dar 😆😆😆😄
 
Bila hili joto ule usemi wa "mtavuna mlichopanda" hautatimia.Mnapokea tani kwa tani za mkaa mnafikiri inatokea wapi?kama mnathamini mkaa na mbao za kuchongea vitanda kuliko misitu basi mtulie mvune mlichopanda.Hata hivyo Wataalamu tumeshasikia kilio chenu na tunandaa turubai kubwa litakalokuwa linafunika Dar yote muda wa mchana kutoka Bunju mpaka Mbande.
 
Back
Top Bottom