majiyashingo
Member
- Feb 2, 2011
- 44
- 2
jAMANI WAPENDWA kama mnavyojuwa tena maji yashingi yamenifika shingoni kama mwezi hivi niliwewka topic juu ya MASS MEDIA ndugu zangu lengo langu ni moja kucreate opportunities kwa kila mtu -ajira na mambo mengine.Nimeanzisha Journal ambalo lina mamabo yote haya
Politics
World(africa,Asia,USA,
Sport
Auto
movie
music
games
travel
health
business
Children
gossip column
Science and technology
food
Fashion and Beauty
Arts
Opinion
Home and Garden
Kila kitu kipo tayari sasa tatitzo linaloniumiza kichwa ni hili hapa.First phase ya investment imekamilika tatizo ni kuwapata waandishi wenye vipaji mbalimbali.Na kikubwa zaidi nahitaji watu wa kuandika kwenye gazeti Ila pesa sina.ndugu zangu nishaurini nifanye nini najua gazeti mpaka linaze kulipa itachukua miezi sita Je kuna njia yoyote nayoweza kufanya?