Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Haaaaa Alishakuwa Shemeji halafu sie wa kaskazini ni laana kutembea na shemeji yako.Msaidie mwenzio..teh
Huyu ni wale tunaita KIGEGO! Hafundishiki, Hafundiki!Hajafundwa kwao
Na huo ukimya wa jamaa ndio unazidi kumdatisha! Anapigana ngumi na upepoHuyu naye kadata, anabweka mitandaoni, jamaa wala hana time naye. Kweli mfamaji haishi kutapatapa
Hivi ni Chadema waliingia na mitutu barabarani kufanya mazoezi ya utayari??Hahaha hao ndo chadema bhana ndo maana wameshikwa akili na Mange Kimambi kuanzia top Boss chadema mpaka wabebe mikoba!
Kumbeba mwanamke ambaye mwanaume mwenzio kamshindwa inabidi ujiulize mara mbili mbiliDJ Nelly Nkongo maji yalimfika shingon ikabid amuache huyu mama. Kamanda hakujua akaingia kichwa kichwa kubeba jiko lililomshinda DJ nelly
Kweli kabisa mkuu.Ifike mahali hivi vyama viwakatae watu wenye IQ ndogo kama hizi. Ukiwa na wanachama wa aina hii nadhani chama chako kitakua kime plan ku-fail.
Joyce kiria fedha imemfanya achanganyikiwe na kashajishushia heshima yake kwa ujinga wakeSipati jinsi Joyce anavyotanua miguu na kugumia. Lkn huenda hiyo post si yake Bali ameingiliwa. Kwa umakini alionao Kiria sitegemei aandike hadharan hayo yaliyoandikwa. Amejijengea heshima kubwa hawezi kuiharibu kirahisi hivyo
I wonder. Atulie azalishwe na CCMMbona anawashwa Sana... Si Amtafute muweka Hazina wa Zile trillion 1.5 ..