Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,161
Du Zimegota kwenye 5.9m [emoji2][emoji2][emoji2]
Wa lemutuzkwani alikuwa mke wa nani? msaada plz
ngoja nimcheki mshenga wangu tutupe ndoano inaweza kuwa bahati yanguWa lemutuz
Kweli mkuu, hata yule mwenyekiti wao wa BAVICHA alikimbiwa na WastaraChadema wote hukimbiwa na Wanawake, ni udhaifu!
kama sikosei ni yeye alisema kwasababu ni mwanamke mzuri ametongozwa na wanaume wengi mno hivyo idadi ya aliolala nao hata 300 inafika....ati yeye anajiona mzuri....ameaibisha kabila la wachaga lote hakika.Yule na mtu anayestahili standards za kuheshimiwa ni mjinga na mpuuzi yule mdada!
Sasa apambane na khali yake kahaba mkubwa.
Shida sanaKwani tangia lini amewahi kudumu katika Ndoa na wote aliokuwa anatiririka na anaserereka nao Kibaiolojia Mkuu?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Huyo Kileo ndo kala za mbavu. Alikuwa anasaidiwa maisha tu kwasababu mangi mwenzake baada ya mdada kumchuna pesa Mtu mwingine na kuanzisha Wanawake Live.
- Sasa Kileo hana kazi, kila siku yuko mitandaoni " Pipooz pipooz" kwanini asile KIBUTI.
Anatumia I'd ganiHuyu nakumbuka alikuja na post yake yake ya kupenda pesa sana, kwamba mwanaume bila pesa tupa kule!...Matokeo yake ndiyo haya...
Ahahahahahahaa, Mna maneno nyie, utafikiri mlikunywa maji ya chooni,Huyo Kileo ndo kala za mbavu. Alikuwa anasaidiwa maisha tu kwasababu mangi mwenzake baada ya mdada kumchuna pesa Mtu mwingine na kuanzisha Wanawake Live.
- Sasa Kileo hana kazi, kila siku yuko mitandaoni " Pipooz pipooz" kwanini asile KIBUTI.
Yule na mtu anayestahili standards za kuheshimiwa ni mjinga na mpuuzi yule mdada!
Sasa apambane na khali yake kahaba mkubwa.