Joyce Kiria ameachana na mumewe?

Huyo Kileo ndo kala za mbavu. Alikuwa anasaidiwa maisha tu kwasababu mangi mwenzake baada ya mdada kumchuna pesa Mtu mwingine na kuanzisha Wanawake Live.
- Sasa Kileo hana kazi, kila siku yuko mitandaoni " Pipooz pipooz" kwanini asile KIBUTI.
Kwa hiyo Kileo yuko huru kuolewa na mwanamke mwingine
 
mume wake yule aliyemkapeniaga apate ubunge...akakosa...???..
kama angepata sidhani kama hili lingejiri....
wanawake maslahi wanajidaigi na kauli mbiu ya haki sawa...
matokeo yake wanatupanda kichwani......
 
Sasa ndio ataliwa kwa kwenda Mbele na hivi ana Pepo....
 
mume wake yule aliyemkapeniaga apate ubunge...akakosa...???..
kama angepata sidhani kama hili lingejiri....
wanawake maslahi wanajidaigi na kauli mbiu ya haki sawa...
matokeo yake wanatupanda kichwani......
Hawajaachana wapo wote. Hata hiyo post baada ya dk.Mumewe alitokea Na wanacheka
Watu kumbe mnafurahia watu waachane??
Kama ana makosa aelimishwe Si vizuri kumwombea Mabaya.
Ni kweli ana vimambo vyake Na kutaka kuiga vya Ulaya but taratibu aelimishwe.Atachange kidogo kidogo
 
Ana skendo za utapeli huko ukonga dah!
 
Ngoja wahuni wengine waje kutimua vuzi na kusepa kama kawaida...fuk
 
Unaweza kumwelimisha mwalimu wako wewe? Yeye ni celeb, ana wanafunzi kibao nyuma yake, usitegemee ni rahisi kumwelimisha.

Leo mwanza amesema kuvaa nusu uchi ni saafi kwa mwanamke anayeona kuvaa hivyo, na amesema kama kuna mwanamme anategeka basi ni tamaa zake.

Alivyo kiazi, eti kwa nini wazungu wanaweza vaa bikin wakatembea na hawatamaniani? Iweje waswahili tu?

Kuna wanamme wana kazi za kuishi na wake zao aisee
 
Kutwa kucha kuwananga wanaume sasa ataisoma namba.....
 
Vencha,kilewo!! Who's next?? Dr Shika au Mwl. Deogratius Kisandu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…