Na Imelda Mtema ..
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Bongo Movies kinachorushwa na EATV, Joyce Kiria, mwishoni mwa wiki iliyopita alikumbana na kisu baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji, Amani linakudondeshea mpango nzima.
Joyce ambaye pia anatangaza Kipindi cha Wanawake Live katika runinga hiyo, alijifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Marie Stopes Mwenge, Dar es Salaam. Gazeti hili lilipopata taarifa hizo lilimsaka Joyce ili kupata habari zake zaidi lakini hakupatikana kwenye ‘kilongalonga' chake cha kiganjani
Source :...Ze magazeti pendwa
Hivi siku hizi kuzaa kwa kisu ndo mpango mzima au inakuwaje mana masister du wengi ni mwendo wa kisu tu!! nini siri ya urembo!?