Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mnyakyusa mwasika wa juzi hapa hukumuona!?Control,Pace,Skills Hakunaa anayemshikaa Joyce Lomalisa
Umenena vyema sana hawa wametumwa kuwapandisha thamani uchwara hawa wachezaji..Nilichojifunza kwenye hizi fake ID, blogs uchwara, pages na forums za mitandao ya kijamii kuna ID za mawakala wa hawa wachezaji wanaovumishi hizi uvumi ili wateja wao wavuni Mpunga mwingi pale jangwani. Joyce si aende tu. Kulikuwa na Akina Anwary awadh, Constantine Kimanda n.k wamepita hapo ubavu wa kushoto isije kuwa yeye.
Constantine Kimanda hakuwa beki wa kushoto. Hauijui hata timu yako.Nilichojifunza kwenye hizi fake ID, blogs uchwara, pages na forums za mitandao ya kijamii kuna ID za mawakala wa hawa wachezaji wanaovumishi hizi uvumi ili wateja wao wavuni Mpunga mwingi pale jangwani. Joyce si aende tu. Kulikuwa na Akina Anwary awadh, Constantine Kimanda n.k wamepita hapo ubavu wa kushoto isije kuwa yeye.
Call a spade spade, not a big spoonLomalisa na ule umri wake! Juma Shabani na ule umri wake! Yannick Bangala!! Wapewe tu maua yao, halafu wakatafute changamoto mpya mbele ya safari.
We unaita tetesi wakati watu wanasepa kweli 🤣😂🤣Hizi tetesi kwann ni Yanga tu?,au ni mpanho wa kuitoa Yanga kwenye reli?
Nafikiri huo ni mkakati mahsusi wa wachezaji wenyewe ili waboreshewe maslahi hapo Yanga ni mbinu za medani za vita hakuna anayeondoka.Hizi tetesi kwann ni Yanga tu?,au ni mpanho wa kuitoa Yanga kwenye reli?
Na mnapenda club bingwa😂Joyce Lomalisa Mutambala
Kunaa vuguvugu chinii kuwaa Full back Bora ya mpira inataka kuvunja mkataba
Wananchi na Tanzania nadiriki kusema hatukuwahii kumshuhudia beki Bora wa pembenii zaidii yaa
Joyce Lomalisa Mutambala