Jr. Farhan wa clouds fm mchambuzi wa michongo!

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Ndugu wananzengo mchumbuzi huyu sikuiz kashalevuka maana hana fact bali kajawa na mihisia kama ya mwanamke, leo ni siku aliyoipanga kwajili ya kimuinua mpuuz Zaka za Makazi ... dadeki eti hakuna afisa habar Tanzania kama wa Icecream

Yaan unatuhamasisha twende tukafollow lipage la Kazikazini... ila lengo lako tushalijua ni wivu kwa Amed Ally semaji la mnyama, waandishi acheni wivu wa kingese!
 
Inawezekana aliomba kazi hiyo Simba na hakuipata. Vipi Mwijaku bado ana kiherehere ?
Hili linawezekana sana

Kabla Simba hawajatangaza Afisa Habari alikuwa haachi kuandika posts nyingi za kuisifia Simba na mipango yao. Simba walipotangaza Afisa Habari kuwa ni Ahmed Ally nikaona hakupost hiyo habari kwenye ukurasa wake . Nikaona ni kama kinyongo fulani kajisikia.

Sasa hii ya kwamba anamtangaza Zakazakazi kama Afisa Habari Bora itakuwa ni namna ya kujipa self satisfaction tuu. Dogo bado mgeni sana ajitahidi aijue Industry na Mpira vyema, Simba watamafikiria mbele ya safari.
 
Njaa mbaya sana. Msiwaone hawa wachambuzi redioni,wengi hawana mikataba ni ma dayworker wanalipwa posho tu kiduchu. Ikute alijipinda kuandika barua,CV,barua ya kuonyesha motivation yake na mapenzi yake kwa Simba na uwezo wake. Aliweka nguvu zake zote ila kaambulia patupu. Lazima roho imuume na kawivu kwa aliyechaguliwa kawepo.
 
Wachambuzi wa bongo wachache wanaojielewa.....wengine wanakautimu...kuna chambuzi moja hivi inakera mno, ana kauBRAZILI na uMAN U + CR7. Caption za kumwaga,historia za wachezaji wa kibrazili zinafufuliwa weee inapelekea anaambulia wachangiaji wachache. Aise wachambuzi wa bongo pasua kichwa 🤣
 
Hili linawezekana sana

Kabla Simba hawajatangaza Afisa Habari alikuwa haachi kuandika posts nyingi za kuisifia Simba na mipango yao. Simba walipotangaza Afisa Habari kuwa ni Ahmed Ally nikaona hakupost hiyo habari kwenye ukurasa wake . Nikaona ni kama kinyongo fulani kajisikia.

Sasa hii ya kwamba anamtangaza Zakazakazi kama Afisa Habari Bora itakuwa ni namna ya kujipa self satisfaction tuu. Dogo bado mgeni sana ajitahidi aijue Industry na Mpira vyema, Simba watamafikiria mbele ya safari.
Mchumbuzi mzur ila kaanza kutibua watu!
 
Kumbe huyo Farhan Jr yuko Clouds, anyways redio siku sisikilizi mi niliona tu kina Shaffih na Privaldinho wana repost sana posts zake nikawa najiuliza huyu mwandishi wa kujitegemea anaonekana yuko deep sana kuliko wakongwe hasa kwenye issue ya Chama na Moses Phiri walimsifia sana,.... anyways siku hizi uchambuzi unategemea zaidi uwezo wako wa kugoogle kwenye mitandao na kupost wa kwanza kabla ya wenzako[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ndugu wananzengo mchumbuzi huyu sikuiz kashalevuka maana hana fact bali kajawa na mihisia kama ya mwanamke, leo ni siku aliyoipanga kwajili ya kimuinua mpuuz Zaka za Makazi ... dadeki eti hakuna afisa habar Tanzania kama wa Icecream

Yaan unatuhamasisha twende tukafollow lipage la Kazikazini... ila lengo lako tushalijua ni wivu kwa Amed Ally semaji la mnyama, waandishi acheni wivu wa kingese!
Mkuu unatema pumba hadi sio vizuri
 
Wivu tu!
Bwana Mdogo yupo vizuri sana.
Watanzania acheni wivu wa kike hautawapeleka popote.
 
Namskia hapa anachambua mpira kama mwanamke anaechambua mchele'eti haoni kitakachomzuia yanga kuchukua ligi nbc
 
Back
Top Bottom