Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Kwa Kifaru aliongezea tyu kiaina ili tusimjue lengo lake!Nilishangaa alivomjumuisha na Kifaru. Yaani kifaru awe sambamba na yule msifia basi?
Kama lengo lake lilikuwa ni hilo, basi ana safari ndefu.
Hili linawezekana sanaInawezekana aliomba kazi hiyo Simba na hakuipata. Vipi Mwijaku bado ana kiherehere ?
Njaa mbaya sana. Msiwaone hawa wachambuzi redioni,wengi hawana mikataba ni ma dayworker wanalipwa posho tu kiduchu. Ikute alijipinda kuandika barua,CV,barua ya kuonyesha motivation yake na mapenzi yake kwa Simba na uwezo wake. Aliweka nguvu zake zote ila kaambulia patupu. Lazima roho imuume na kawivu kwa aliyechaguliwa kawepo.Hili linawezekana sana
Kabla Simba hawajatangaza Afisa Habari alikuwa haachi kuandika posts nyingi za kuisifia Simba na mipango yao. Simba walipotangaza Afisa Habari kuwa ni Ahmed Ally nikaona hakupost hiyo habari kwenye ukurasa wake . Nikaona ni kama kinyongo fulani kajisikia.
Sasa hii ya kwamba anamtangaza Zakazakazi kama Afisa Habari Bora itakuwa ni namna ya kujipa self satisfaction tuu. Dogo bado mgeni sana ajitahidi aijue Industry na Mpira vyema, Simba watamafikiria mbele ya safari.
Mchumbuzi mzur ila kaanza kutibua watu!Hili linawezekana sana
Kabla Simba hawajatangaza Afisa Habari alikuwa haachi kuandika posts nyingi za kuisifia Simba na mipango yao. Simba walipotangaza Afisa Habari kuwa ni Ahmed Ally nikaona hakupost hiyo habari kwenye ukurasa wake . Nikaona ni kama kinyongo fulani kajisikia.
Sasa hii ya kwamba anamtangaza Zakazakazi kama Afisa Habari Bora itakuwa ni namna ya kujipa self satisfaction tuu. Dogo bado mgeni sana ajitahidi aijue Industry na Mpira vyema, Simba watamafikiria mbele ya safari.
Ana ka degree ka chuo cha kata Mkwawa.Kanajifanya mchambuz msomi eti well come morogoro ..upuuz mtupu kanakera mbayaa
Mkuu unatema pumba hadi sio vizuriNdugu wananzengo mchumbuzi huyu sikuiz kashalevuka maana hana fact bali kajawa na mihisia kama ya mwanamke, leo ni siku aliyoipanga kwajili ya kimuinua mpuuz Zaka za Makazi ... dadeki eti hakuna afisa habar Tanzania kama wa Icecream
Yaan unatuhamasisha twende tukafollow lipage la Kazikazini... ila lengo lako tushalijua ni wivu kwa Amed Ally semaji la mnyama, waandishi acheni wivu wa kingese!