JR tafadhalini naomba msaada wa haraka!

JUDITH MGASSE

Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
17
Reaction score
4
habari! tafadhali kwa anayejua jinsi ya ku apply kwa hawa UN volunteers! kama unataka kuvolunteer! maana wametangaza volunteer ila hawajasema jinsi ya kuapply! yaani contact ama form na kwenye web yao sioni! pls kwa anayejua! wametangaza na post pia yaani si volunteer na wameonesha jinsi ya ku apply ila kwa volunteer hawajaonesha! pls msaada wajameni!
 
ndugu fungua website yao kila kitu kipo kuanzia form mpaka yan maelezo yote yale yapo
 
Relax!!! kila kitu iko pal e.Na ukitaka kujua hujatulia JR ni nini? taratibu mkuu...................
 

ww imgia kwenye website yao kisha utafuata maelekezo,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…