Jua faida za DHA itakusaidia sana

Jua faida za DHA itakusaidia sana

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,273
DHA ni kifupi cha docosahexaenoic acid, hii ipo kwenye group la fatty acids ina Omega 3 chain kwa wale waliosoma biology.
DHA inapatikana katika cell zote za mwili, na ni muhimu katika development ya brain, macho, na mfumo mzima wa neva (nervous system)...

Kuna research ilifanyika, wamama ambao walikua wanatumia supplements za DHA walizaa watoto ambao miaka minne walikua matured na IQ kubwa kuliko wenzao ambao hawakutumia supplements hizo.. Omega 3 acids zinapatikana sanasana kwenye baadhi ya samaki na kwa kiasi kidogo sana kwenye maziwa ya mama anapomnyonyesha mtoto, ndo maana watoto walionyonyeshwa kwa kipindi kinachotakiwa bac hua wana-tend kua na improved brain functions mara nyingi kuliko ambao wamenyonyeshwa kidogo afu akanyonyeshwa kwa maziwa ya kununua dukani..

Kwa wanafunzi mashuleni na mtu yeyote ambaye anataka kuimprove ubongo wake katika swala zima la memory na intelligence au wamama wenye ujauzito kupata watoto ambao darasani watakua fit inashauriwa apate hii DHA au Omega3 fatty acids, either kula samaki wa kutosha au tumia supplements ambazo inaingia straight kwenye mwili...
 
Back
Top Bottom