Jua haki yako ukiwa barabarani ukishikwa na trafiki.

Last edited by a moderator:
Huu Uzi ulikuwa mzuri ila ulikosa wachangiaji, na alieleta Mada hakutaka kuwa wazi zaidi maana wanajua ukiwafundisha Raia kujua haki Zao Trafik hawatasumbua barabara, Maana trafik wamesahau wajibu wao barabarani hawaelimishi wao nikukamata tu na kupokea Rushwa.

Nitakuja na sheria ya Usalama yote hapa itajibu kila Swali.
 
kwa afrika haki yako ni akili,mdomo na pesa yako.
Sasa utapiga mdomo wakati kichwani kihio wa sheria. Utabuluzwa na mdomo wako, kisha pesa yako pia utawapea wanqume wenzio wakanywe supu na kununua kiwi za kubrashi viatu
 
Sasa utapiga mdomo wakati kichwani kihio wa sheria. Utabuluzwa na mdomo wako, kisha pesa yako pia utawapea wanqume wenzio wakanywe supu na kununua kiwi za kubrashi viatu
Nimeanza kutaja akili halafu mdomo makusudi kwasababu unaweza ukajua sheria lakini ukawa na mdomo wa hovyo, polisi watakufix tu japo unajua sheria. This is Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…