Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

Acha kujidanganya na hizo sheria zako za developed countries..Sio kwa polisi wa Tanzania, Kwanza unaijua sheria za jeshi la polisi unayohusiana na kumzuia askari polisi kutekeleza majukumu yake inavyokubana kirahisi Mtanzania?.

Watu kama Ester Bulaya, Ester Matiko, Mdee ambao hao ni Wabunge wanapigwa vile chini ya ulinzi wa polisi halafu wanafunguliwa wao mashitaka, Je mimi na wewe unategemea nini?
 
Kwa polisi wa kitanzania wamezichukua hizo kua ni haki zao
Na ukijifanya unajua sheria basi jumba linakuangukia na hakuna msaada utakaopewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa, ila mara nyingi wajapo kukukamata wanakuchukulia kama muhalifu hatari, hata kama swala la deni, au umetoleana maneno machafu na mtu, hivyo uja na siraha na hawakupi nafasi yeyote! Hayo yapo tu ila ni ngumu kuyafuata!
 
Hizi sheria ni kweli zipo ila kwetu hazifuatwi kabisa. Kamwe usizijaribu kwa polisi wa Tanzania
 
kwa polisi ya tz jifanye tu huyajui kwani ndio salama yako , la sivyo utarudi mtaani unachechemea, jamaa wanapiga ni zaidi ya mnyama anavyopigwa
 
Shukrani mkuu
 
bwana wee unadanganya watu.ingependeza ungeshusha na vifungu.suala la polisi kuingia na kusachi lipo kisheria eidha awe na warant au asiwe nayo.pia polisi anaweza kuvunja mlango wa nyumba bila wasiwasi.

ukiwekwa chini ya ulinzi huna tena uhuru ivo utasikiliz amaelekezo ya afande.

polisi anaruhusiwa kutumia nguvu ya kadiri kumdhibiti mtuhumiwa inapoitajika.ikumbukwe kwamba anaepima nguvu ya kadiri ni polisi mwenyewe
 
 
Hizi ni haki za kwenye makaratasi na kwenye vyombo vya habari Tu nasio haki au sheria halisia za utendaji kazi askari anafika chakwanza ni rungu au kibao mateke nk. Utamulizaje jina lake na mengineyo.....
 
kwa heshima na taadhima naomba hizi mambo ukimaliza kusoma uyaache humu humu usije ukajaribu huko mitaani kwenu.

utakuja kunishukuru baadae
 
Bikra na Mwanahaki, nawapa big up. Yaani mmetupa vitu vitu vya maana sana. Binafsi mmeninielimisha sana katika hili, thanks again.
baki kuelimika ila usije ukajaribu huko mitaani utakuja kunishukuru baadae
 
Hapa nina swali waheshimiwa, kama ikitokea askari amekiuka taratibu hizi au moja ya taratibu hizi, mimi kama mwananchi ninaweza kumchukulia hatua yoyote?, Kama ndiyo, ni hatua gani na utaratibu upoje? Na kama siwezi kumchukulia hatua, atawajibishwa vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…