G gudyme Member Joined Oct 22, 2015 Posts 28 Reaction score 14 Oct 16, 2016 #1 Wana jamvi poleni na mizunguko ya wiki...mimi ninashida ya mada husi apo juu ningependa kujuzwa namna yakupata taarifa za mapato ya gari kwa njia ya mtandao. Asanteni na Karibuni
Wana jamvi poleni na mizunguko ya wiki...mimi ninashida ya mada husi apo juu ningependa kujuzwa namna yakupata taarifa za mapato ya gari kwa njia ya mtandao. Asanteni na Karibuni