Jua kazi inayokufaa kulingana na tarehe yako ya kuzaliwa

Mkuu MziziMkavu mm nashindwa kusema kama uliyoyasema hapo yanaendana na mimi au la,maana ni tar 28 hapo....hicho kipengele cha kuniambia nifanye kazi zinazohusiana na wanyama ndio sijapaelewa vizuri.Ufafanuzi tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
clear kabisa unanifanya nitake kuanza kukimbiza ndoto zangu maana hapo31 ndo pangu kabisaaaaa
 
Naona umewaita ndungu zako katika ulozi,nitakutafuta unipe utajiri,nahisi wewe ni warren wa afrika
 

Leo umefeli.......me ENGINEER hizo sifaa mmh????? Tar 6 dec
 
Mbona hili bandiko linaenda kinyume na jinsi akili inavyofanya kazi #Appolo

navyodhani mkuu kaeleza inavyokua kulingana na elimu ilivyo,ila Appolo ame eleza unavyoweza kubadili muelekeo wa mawazo yako kwani ukisha jua chanzo na kubadili ndo matokeo nayo yanabadilika mkuu.

Ni mtazamo wangu Mkuu,naomba kuwakilisha
 
Aiseee...[Mimi sawa, sasa shida ni mtoto wangu, yaani awe mvuvi!!]
 
Hata wewe ukitengeneza list yako ya kihuni kama ya mzizi mkavu katika nchi yenye watu zaidi ya milioni 50 huwezi kushindwa kukisia wote. Huo ni uhuni kama uhuni mwingine
 
Nchi hii inakwamishwa na vitu vingi sana, mada kama hizi ni moja ya vikwazo!
Unawezaje kutaka kuwaaminisha watu eti utawasaidia kushinda kesi zao kwa nguvu za giza?
 

Hapo kwenye tarehe 15 umenikamata kabisa-najua lugha takriban tano za makabila mbalimbali hapa bongo, najua french na kiingereza mbali na kiswahili. Kiingeza na Kifaransa nimejifunza darasan lakin kinyak, kibena, kigogo, kisukuma+ nimejifunza kutokana na kukaa na watu wa wanaozungumza lugha hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…