Jua kazi inayokufaa kulingana na tarehe yako ya kuzaliwa

Mzizi lazima unanifahamu........haiwezekani unipatie namna hiyo........khaaaa .......
 

msiamini haya, hayana ukweli wowote
 
Mkuu hiyo siyo sahihi kwa maana kazi niifanyayo na ninayofanya haiendani na tarehe uliyoiweka hapo.
 
N ukwel kwa upande mmoja japo nahiulza vp watu ambao wao hawana mafankio na mambo yao yako ovyo kabsa wao ktk hzo tarh hawausiki?
 
mie 25...... ndo maana natafuta kazi miaka miwili sasa sipati.. kumbe kwangu kanisani...
 
Namba yangu haipo nimezaliwa tarehe 32,,, vipi?!
 
May be its real. Nahisi umepatia 98% ya wote walio reply hapo juu. Upo vizuri. Umenigusa pia kimtindo
 
mimi tarehe 6...Naona naendana kabisa...labda hapo kwenye uuguzi ndo nakosa marks.
 
navyodhani mkuu kaeleza inavyokua kulingana na elimu ilivyo,ila Appolo ame eleza unavyoweza kubadili muelekeo wa mawazo yako kwani ukisha jua chanzo na kubadili ndo matokeo nayo yanabadilika mkuu.

Ni mtazamo wangu Mkuu,naomba kuwakilisha

Nashukuru kwa majibu mazuri mkuu
 
hiyo trh 17 imenigusa kabisa me nasomea uhandisi na nina ndoto ya kuwa mhandisi mkubwa.

Mimi pia tarehe 17 na kazi nayofanya inauhusiano mkubwa na elimu na Nina mpango kurudi class kujinoa zaidi.

Hapo tarehe tano Nina ndugu anayenifuata baada ya Mimi kuzaliwa yeye ni mwanasayansi wa kariba ya udaktari na ni mtu yuko very curious.

Any way Mimi si muumini wa mambo ya nyota but kwa hizo tarehe kuna na ukweli flani.
 
terah 15 umenigusa hata sasa na soma uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…