Jua kazi inayokufaa kulingana na tarehe yako ya kuzaliwa

Habariii...
Napenda sana kusoma habari za nyota.
Kuna uhusiano wowote wa tarehe ya kuzaliwa na maisha ya mtu...
Je kwa mtu alie zaliwa tarehe 5th February... Nyota yake ipoje//maisha.
Asanteni sana jf members
 
kwa mm hapana kwa kwel!!
mtu wa kiroho..!
mtoa nasaha..!
mponyaji..!
Aaaah iyo tarehe 25 mm cjaelewa somo kabsaaa
 
PAMBAfU, mIMI MTU WA USAFI NYUMBANI? noooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo, nakataa kwa jina la YESU
 
daah umenigusa aisee me ni tar 23 na ninasoma Bcom Accounting, yan nimepata moyo sana.. big up sana MziziMkavu
 
yaaani mzee kaba una darubini directly imenigusa.
 
We mzizi mkavu ni noooooma sana aiseee..!!!! umeyajuaje haya? ujue umenigusa sana tena umenibamba hadi isingizi umenipotea kabisa. hiyo Tr 27 ndo yangu na umegusa mle mle niko mwaka wa pili sasa, lengo langu ni kutia miguu anga za juu. mwakani naenda kutembelea NASA
 
Mimi hata haiendani, na sijawahi kuwaza udaktrai ati
 
Mhh yani umenigusa kabisaaa mi nipo kwenye tarehe 3 hapo na mi ni mwalimu mkuu na ni kweli mstahamilivu sana yaani umenigusa kabisaaaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…