MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,065 Apr 8, 2016 #141 Igweeeeeeee
isambe JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 2,195 Reaction score 1,407 Apr 8, 2016 #142 Nimekukubali, Dr MziziMkavu, wenyewe wanasema..... Tawire!!!!,hiyo ya tarehe 12,mlemle umegonga
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,067 Reaction score 10,393 Apr 13, 2016 #143 Dah.,. Sisi tuliozaliwa zamani wakati walikuwa hawaweki kumbukumbu za tarehe sijui itakuwaje
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,047 Apr 13, 2016 #144 Mkuu uko vizuri Nimeangalia date yangu na ya watu ninao wahafamu na date zao dah Shkamoo
KIDUDU JF-Expert Member Joined Sep 17, 2012 Posts 2,557 Reaction score 1,927 May 12, 2016 #146 Toa uongo wako na utabiri wa uongo, mimi ni mtu wa nyumbani? Hovyo kabisa. Usipokuwa makin nitakushitaki kwa kunitukana kwa kutumia mfumo wa kompyuta
Toa uongo wako na utabiri wa uongo, mimi ni mtu wa nyumbani? Hovyo kabisa. Usipokuwa makin nitakushitaki kwa kunitukana kwa kutumia mfumo wa kompyuta
Valentina JF-Expert Member Joined Oct 12, 2013 Posts 24,684 Reaction score 28,777 May 12, 2016 #147 Niko hapo trh17 ila sielewi
badison JF-Expert Member Joined May 29, 2015 Posts 1,450 Reaction score 2,761 May 13, 2016 #148 mkuu upo sahihi
Ukwelibusara Member Joined Apr 8, 2016 Posts 30 Reaction score 7 May 13, 2016 #149 18 imenigusa kabisa......planner
Mr muhuni JF-Expert Member Joined May 26, 2014 Posts 1,298 Reaction score 1,266 May 13, 2016 #150 Mkuu uko sawa 100000% tarehe 28 mm ni Tour Guide na naipenda sana kazi yangu coz imenifikisha pazuri kiukwelii
Mkuu uko sawa 100000% tarehe 28 mm ni Tour Guide na naipenda sana kazi yangu coz imenifikisha pazuri kiukwelii
Boniphace Bembele Ng'wita JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 3,475 Reaction score 1,860 May 13, 2016 #151 duh hii kitu haipo sahihi, may kwa baadhi ya watu
MTV MBONGO JF-Expert Member Joined Feb 18, 2016 Posts 1,281 Reaction score 1,251 Aug 7, 2016 #152 Utabiri huu na unajimu ni uongo, utapeli na ni chukizo mbele ya Mungu
M mwirumuja JF-Expert Member Joined Jun 23, 2016 Posts 213 Reaction score 274 Aug 7, 2016 #153 Tarehe 5,tofauti kubwa mno.
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Aug 7, 2016 #154 mie namba moja hapo, ofcourse hauko mbali sana na ukweli nitalifanyia kazi bandiko lako!
Shida na raha JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 3,773 Reaction score 3,471 Aug 8, 2016 #156 Uongo mtupu wenye akili fyatu watasema wameguswa
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Aug 8, 2016 #157 Haina ukweli wowoteule
Lee Napoleon JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 896 Reaction score 566 Aug 13, 2016 #158 ahsante tarehe 31
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,598 Aug 13, 2016 #159 Hata mimi kanigusa kabisa ... niko kwenye namba 5! Na hapa nipo kwa ofisi mida hii naandaa ujio wa wanachuo Mwezi Nov. 2016. Naiprint ili niwasaidie wasioingia JF
Hata mimi kanigusa kabisa ... niko kwenye namba 5! Na hapa nipo kwa ofisi mida hii naandaa ujio wa wanachuo Mwezi Nov. 2016. Naiprint ili niwasaidie wasioingia JF
CHAPTER5 JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 556 Reaction score 506 Aug 13, 2016 #160 Japo post ni ya muda mrefu lkn umewasahau baa medi .. Au wao hawana trh ya kuzaliwa?