Jua kesho tarehe 21 Machi litaingia Ikweta, Masika kuanza

Iviiii kumbe usiku na mchana uwa hazilinganiiii?????
 
Huwa najiuliza hata mm,kwa nn masika ina mvua nyingi kuliko vuli wakati formation Ni ile ile sema inatokea kwa upande mwingne...

Hebu tusaidie mkuu kwa faida ya watu wote


Ngoja nitaeleza, hapo ishu ya Pressure lazima ihusike
 
Kwahy nikienda kuandaa mashamba nipande mbegu nitakuwa sahihi
 
Kuna siku havilingani Mkuu, mchana unakuwa mrefu na kuna wakati usiku unakuwa mrefu kuliko mchana.
Masaaa c uwa 24, 12 mchana na 12 usiku au mi ndo naelewa vibaya mkuu kivipiii hazilingani sasaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…