Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Sawa, hauko mbali na usahihi - tarehe 21 na 22 mvua zimenyesha Kakonko na zilikuwa zimesimama kwa wiki kadhaa
Tanga mjini mvua imegonga ya maana usiku wa kuamkia leo..
Wewe hasira za karibu unazijuaje???Inaonekana una hasira za kalibu sana vp umevurugwa?
Ahsante mkuuπππ Karibu Sana Mkuu
Wewe hasira za karibu unazijuaje???
INSTEADY OF THAT SCIENCE, ALMIGHTY IS ABLE TO DO QUITE DIFFERENT.OUT OF YOUR EXPECTATIONS.