Jua la Sahara Kutoa Umeme Ulaya - Miafrika Kuendelea Kuchomwa na Jua la Mgawo Bongo!


Unajua tena wengine hatupo sahihi kisiasa. Ninazungumza yaliyo akilini mwangu.
 
Jasusi:

Azimio la Arusha ni kuzuizi cha innovation tu kwa sababu linafanya sekta zote kuwa mikokoni mwa umma. Na sekta za umma sio mahali pa kukuza innovation yoyote hile.

....nakubaliana na wewe Azimio la Arusha lilikuwa ni ufashisti wa hali ya juu uliowahi kutokea Tanzania na umaskini mwingi wa TZ umetokana na sera za Azimio la Arusha,nina uhakika bila azimio la Arusha tungeweza kuwa maskini bado lakini sio kama kiwango cha ufukara wa sasa na limeharibu akili za wengi maana watu hawana akili tena ya kufikiria wenyewe na kila kitu ni kusubiri serikali!
 
Vipi pale maeneo ya Dodoma na Singida kuna jua mwaka mzima linachoma mpaka utosini daily,hawa wangeangalia namna ya kujisaidia pale na lile jua kuondoa umaskini!
 
Jamani wakuu zangu, nakumbuka zamani sana huko kwetu Ukerewe jamaa walikuwa wakitumia choo cha kiasili ku charge betri la gari na kupata umeme wa nyumba!
Hii habari imeishia wapi?..
 
Vipi pale maeneo ya Dodoma na Singida kuna jua mwaka mzima linachoma mpaka utosini daily,hawa wangeangalia namna ya kujisaidia pale na lile jua kuondoa umaskini!

solution: peleka proposal wizara ya miundo mbinu! Au andika proposal yako mwenyewe, chukua mkopo benki, uanze biashara.
 
Shukran. Naona kama una contacts anzia TBC1 upate contact za huyo jamaa na umpe interview 1 to 1. Hapo utapata mengi I am sure.

Thanks

naona mtandao wao uko chini kwanzia jana!! Do u have any more info on him? name, au hata jina la kipindi? I dont live in tz but wld be very interested kumsikia nikija. maybe all he need is cash or someone to write a loan proposal him.
 
Jamani wakuu zangu, nakumbuka zamani sana huko kwetu Ukerewe jamaa walikuwa wakitumia choo cha kiasili ku charge betri la gari na kupata umeme wa nyumba!
Hii habari imeishia wapi?..

kwani sasa huna contact na nyumbani?
 
Without defined strategies, we cannot propel any future development agenda. We have to sort out political hindering issues so that we can address development issues. I agree, we need actions and basically quick actions to move fast from where we are now to a different place.
Positive political direction could make all other development issues achiavable> Vinginevyo ni rushwa ndo itakayotufanya tuwe kubaya zaidi ya hapa tulipo. Naamini Azimio la arusha linajadiliwa kwasababu Azimio la Zanzibar ambalo halijawahi kuandikwa kwenye makaratasi limeonyesha failures kubwa kwenye kuisogeza nchi mbele maana rushwa imeongezeka, huduma za jamii zimedumaa na maendeleo yamekuwa kwa watu wachache tu. Je hao wengi kama wataendelea kuwa masikini hatuoni kama itakuwa hatari kiusalama kwa nchi yetu?
 
unataka usalama waache kufikiri sisiem watapata wapi hela ya uchaguzi? hilo ndo jukumu lao la msingi.
Wenzao wanaangalia business opportunities, economic threats, and the like....hawa jamaa wa miti mingi wao wamelala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…