JF wanatoa information bure wewe unauza. HUO NDO WIZI
What if you were charged kuweka hilo bandiko lako???!!!
Nchi haiwezi kuendelea kama watu hawafanyi kazi,
Watu watapataje hiyo hela ya kutuma hizo msg wakati hawana kazi?
SHAME UPON YOU
Du ! nasikitika kuona mtanzania mtaka maendeleo anatoa comment kama hizi.
Kwa hiyo ungetaka service kama hii iwe bure kiongozi ?
Hiyo SMS ya kawaida tu hutumi bure, itakuwa hii SMS yenye ujumbe wa nafasi za kazi ? NGOs peke yao ndiyo wanaweza fanya hivyo.
Ndiyo, kila mtanzania ana haki ya kupata kazi, lakini ni lazima achangie hela kidogo ili kupata huduma muhimu kama hii.
Kwani magazeti ni bure ? Na internet je ? ( achana na kwamba internet penetration ambayo bado ipo chini sana: less than 2% )
Service hii imebuniwa kwa ajili ya Mtanzania wa kawaida. Ndo maana ikapata Tunzo ya ubunifu ya mwaka 2010 zinazotolewa na COSTECH.
Kwa kujali swala la gharama tumejaribu kuweka njia mbadala ya kujiunga bure kupitia
www.kazimobile.co.tz. Na baada ya hapo kila kazi utakayotumiwa(ambayo umechagua) unakatwa shilingi 150 tu(VAT inclusive).
Advantages:
1. Spontaneity
2. Simplicity & Time Saving
3. Cost Effective
4. Availability
Gazeti la kawaida ni shilingi mia tano, na unaweza nunua gazeti ukaambulia patupu. Licha ya kwamba kuna sehemu nyingine magazeti huchelewa mpaka siku tatu au hayafiki kabisa.
Kwa swala la kwamba natumia jukwaa hili bure kutangaza biashara yangu sioni kama ni kosa bali ni fursa ambayo inatolewa na JF. Na ndio maana watu wanaipenda kwa sababu kuna news mbalimbali zinapatikana. Kwa nini usioji watu wanaouza magari au simu akahoji kuhusu huduma muhimu kama hii kwa jamii ?
Kwani hao wanaouza magari, simu,kompyuta hawatengenezi mamilioni ya shilingi ? Please be rational .
Biashara yoyote ili kumfikia mlengwa inatakiwa kutumia vyanzo vingi vya habari. Ndo maana KAZImobile hutagazwa TBC, Facebook na kungineko ambapo ni gharama sana kutangaza.
Kama una ushauri jinsi ya kuiboresha KAZImobile au kuifanya iwe nafuu zaidi kwa mwananchi wa kipato cha chini, au kushirikiana na sisi moja kwa moja unakarisbishwa sana mheshimiwa.
Together We Can Build Our Nation.