Jua ni kali sana jijini Dar es Salaam!

Jua ni kali sana jijini Dar es Salaam!

huuenda kuna nati zilizoshikilia jua zimelegea, jua limeshuka chini kidogo,

Aise ni hatari
 
Ifakara ndio hapafai kabisaaa. Hii nchi hamna sehemu pana joto kama ifakara.
Screenshot_20231019_154330_Chrome.jpg
 
Na wanakata Umeme usiku unalala Kama huko katika Ovena Ila ukitoa tatizo la joto bado dsm ni jiji zuri Sana kuwahi kutokea hapa Africa mashariki
 
Back
Top Bottom