johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Miezi hii joto kawaidaLabda hili joto linatuandaa kwa mvua kali siku za usoni
Mungu wa mbinguni tupe Wepesi π
π€£π€£π€£ Kwamba hana nauli ya kuja na basiUmekuja Dar juzi juzi kwa lori la ndizi nini?
Punguzeni dhambiLabda hili joto linatuandaa kwa mvua kali siku za usoni.
Mungu wa mbinguni tupe wepesi. π
Mwenyewe ndio unajiona mjaaanja ππUmekuja Dar juzi juzi kwa lori la ndizi nini?