Juan Guaido: Spika Mstafu wa Venezuela na Mshirika wa Nchi za Magharibi anavyopitia magumu kwa sasa

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Juan Guaidó ambaye aliungwa mkono na mataifa ya Ulaya mwaka baada ya kushindwa uchaguzi mkuu wa Urais na Nicolaus Maduro aliungwa mkono na mataifa yakimagharibi kuanzia Marekani na washirika wake wa Umoja wa Ulaya na kutangaza kuwa wao wanamtambua Juan Guaidó kama Rais wa taifa la Venezuela na sio Nicolas Maduro.

Mataifa ya Magharibi yaliendelea na msimamo uo kiasi cha kukamata mali zote za maduro na washirika wake pamoja na kufunga A/C za Nchi ambazo zinamilikiwa na Serikali ya Venezuela pamoja madini ya Dhahabu ambayo yalikuwa mali ya Serikali ya Venezuela.

Marekani alidhamiria kumfanyia kweli Maduro kwa kulishawishi mpaka jeshi lilete uasi kwa Maduro lakini washirika wakaribu wa Nicoras Maduro akiwemo na Vladimir Putin wa Urusi walimshika bega na kumpa support kiasi urusi kutuma wanajeshi wake kwenda kumlinda Maduro asipinduliwe na Wamagharibi.

Siku zimepita ila sasa mambo yamekuwa magumu kwa Guaidó, Wananchi wanamuona kama kirusi ambacho kilitumika kutaka kusambaratisha taifa lao nasasa hawamtaki tena.


 
Sijajua unataka kusema nini.
Anyaway. Hata Chedema walikuwa wakifukuzwa kwenye mahotel na kumbi za mikutano, wafukuzaji walikuwa wakipata shinikizo kutoka pahari.
Jf bure sana.
Nimekureportia kilicho jili uko Venezuela na madhira anayokutanayo Guaidó baada kuwatumikia Wamarekani na Washirika wake!

Ila matumaini mengine tunayojipa sio yote ni mazuri kwetu, kuna wakati utasemwa na watu wengi sana ila utajipa moyo kwamba ooh mtu wenye matunda ndo unapigwa mawe! Bas ifike mahali tujitathimini tukiona tunasemwa sana, maana ata mti wenye matunda nao upigwa mawe.
 
Juan Guaidó ambaye aliungwa mkono na mataifa ya Ulaya mwaka baada ya kushindwa uchaguzi mkuu wa Urais na Nicolaus...
USSR ilianguka kwasababu hiyo , misaada isiyo na kichwa wala miguu , mwishowe wakilala njaa wanamsingizia USA kuwa kawaibia chakula ila wanasahau saza yao ya mchana
 

Hakuna mpinzani alieahueni katika mataifa ya Kiimla.
Putin anafunga na kuua wapinzani wake kila leo na majibu ni yale yale kuwa ni vibaraka wa magharibi.
Uzi wako umeudedesa kwa upande unaokufurahisha wewe,sawa.
 
Hakuna mpinzani alieahueni katika mataifa ya Kiimla.
Putin anafunga na kuua wapinzani wake kila leo na majibu ni yale yale kuwa ni vibaraka wa magharibi.
Uzi wako umeudedesa kwa upande unaokufurahisha wewe,sawa.
Kwaiyo kwanini Wananchi kwasasa wanamuo a msaliti wa Taifa Guaidó?
 

Ashukuriwe Marshal Vladimir Putin. Asingesimama kidete na Maduro, manyang’au wangemla Maduro kichwa aisee.

Guaido mwenyewe alikuwa mdogo na hata hakugombea uraisi ila ndo hivyo choko za wangese Marekani walipania kupata upenyo wa kuiba mafuta ya Venezuela wakaona wamvimbishe dogo kichwa.
 
Hao wananchi watakua wa Ccm ya kule wametumwa kufanya fujo
 
Sijajua unataka kusema nini.
Anyaway. Hata Chedema walikuwa wakifukuzwa kwenye mahotel na kumbi za mikutano, wafukuzaji walikuwa wakipata shinikizo kutoka pahari.
Jf bure sana.
hata wewe mwenyewe hueleweki ulikuwa inataka kusema nini. jinga kabisa.
 
hata wewe mwenyewe hueleweki ulikuwa inataka kusema nini. jinga kabisa.
Simple civility or common decency in passing your message across would have made your message/response impactful.

Alas, you just had to exhibit your crass uncouthness.

Before responding (to anyone) next time, remember: You do not have to be rude, discorteous or uncivil to pass a message across.

This is social discuss, you are representing your lineage.
 
jinga...huna akili...vingerereza vingi...porojo tupu.
 
Kwisha habari yake [emoji28][emoji28][emoji22]
 
ngoja amalize kupandikiza dikteta huko ukraine then aje apandikiz dikteta jingine huko kwenu buza kwa mama kibonge , huujui utamu wa madikteta ww
 
ngoja amalize kupandikiza dikteta huko ukraine then aje apandikiz dikteta jingine huko kwenu buza kwa mama kibonge , huujui utamu wa madikteta ww

Wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…