simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
"Tumbu lake" ndio kitu ganiMurathe should quit politicking before 2022. Anatetea tumbu lake nothing more.
Huu utakuwa Mpambano mwingine
His stomach"Tumbu lake" ndio kitu gani
Mimi nataka Ruto achukue nchi, kuna deal nataka nipige kenya atanifaa sana. Jamaa anaingilika [emoji1]Huu utakuwa Mpambano mwingine
yaani hapo kila mmoja ana andaa Kiki ya 2020
Usije huku na zile omba omba zenu njoo strictly for professional business.Mimi nataka Ruto achukue nchi, kuna deal nataka nipige kenya atanifaa sana. Jamaa anaingilika [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app