deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 521
Habari ndugu zangu, nawaomba ndugu zangu naomba wakenya mnisaidie hivi jubilee ni chama kimoja au muungano? Na mfumo wa viongozi ukoje au taasisi zake zikoje hasa kimuundo?
Karibu wadau
Karibu wadau