D deo paul555 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2018 Posts 1,405 Reaction score 521 May 31, 2020 #1 Habari ndugu zangu, nawaomba ndugu zangu naomba wakenya mnisaidie hivi jubilee ni chama kimoja au muungano? Na mfumo wa viongozi ukoje au taasisi zake zikoje hasa kimuundo? Karibu wadau
Habari ndugu zangu, nawaomba ndugu zangu naomba wakenya mnisaidie hivi jubilee ni chama kimoja au muungano? Na mfumo wa viongozi ukoje au taasisi zake zikoje hasa kimuundo? Karibu wadau