pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
This is an ill concieved decision. It would have been better if the government would have hired a few health consultants for the counties. Actual doctors when Kenyan doctors are more than able? I expect this decision to be challenged in the courts of law till the end.
This is an ill concieved decision. It would have been better if the government would have hired a few health consultants for the counties. Actual doctors when Kenyan doctors are more than able? I expect this decision to be challenged in the courts of law till the end.
Kenya haina shida ya madaktari, ina shida ya vifaa vya kufanyia kazi. Migomo mingi ya madokta kenya pamoja na mishahara lakini wanalilia vitendea kazi. Waafrika wengi wanakimbilia sehemu kama India ni kwasababu hospitali za huko are fully equipped. Serikali Jubilee imeweka pesa sio inakohitajika kwa kuleta madaktari wa Cuba. Open heart sugary procedure duniani kote inafanana, shida ni kama tofauti inakuwa nani na vifaa vya kutosha.This is an ill concieved decision. It would have been better if the government would have hired a few health consultants for the counties. Actual doctors when Kenyan doctors are more than able? I expect this decision to be challenged in the courts of law till the end.
Equipment your hospitals, strike nyingi Kenya za madokta wanalia na vifaa. You can have as many doctor as you want if there is no enough operating theaters, what ever they do will be worthless.Hebu help me understand this, do we have fully qualified doctors jobless on the streets, like the case in Tanzania.
Because I understand doctor to patients ratio is appalling.
is it true that madaktari wa Tanzania wanafanana kama wakulima?
Hehehe Nilishangaa sana madaktari wanasota kitaani, yaani haileti picha maana kumsomesha daktari ni gharama sana. Hawa Watanzania kwa kweli majanga.