Judge attacked at rush hour

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
530

SOURCE: Guardian

Hili ni tukio la pili katika muda usiozidi miezi miwili tangu Jaji mwingine avamiwe nyumbani kwake huko Arusha.
 
Pole Jaji Mihayo. Unaweza kukuta huyu mtu ni insane tu. Mimi nawajua watanzania si watu wa fujo kiasi hicho. They are very friendly to everyone hata kama aliwatendea mabaya. Na nadhani ndiyo sababu hawajali kuwawekea ulinzi. Wanasubiri siku moja mmoja wenu yamkute, na hapo waanze kuwawekea ulinzi.
Pole sana.
Haya hata sisi tusio majaji yanatukuta. Utakuta maaskari wanalala nyumbani na watu wanaibiwa huko mitaani. Na kama kama kukiwa na uharifu mwingi basi kutakuwa na patrol ya maaskari ambayo itaishia saa 6 usiku na hapo watakwenda kulala. Na watakuwa wamewaacha wabwia unga, na wavuta bangi mitaani wakitamba, na wauza gongo wasiotoa rushwa watakuwa victims.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…