Judge Said Mbarouk

Ochu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2008
Posts
976
Reaction score
47
Ni judge pekee Tanzania ambae hakusoma sheria na kwa sasa ni jaji wa mahakama ya rufaa.
 
Ebwanaa eeehh wajuzii tujuzeni tupate kueelewa imekuwje au amefikaje....kuna baahatisha hata kwa majaji??kasma wakuu wa wilaya na mikoa???
 
huyu bwana kasoma social science akawa registrar huko zanzibar...akaja soma masters ya sheria akapewa ujaji. tanzania huyo sio mwanasheria lakini nashangaa yeye kaula tena jikoni kabisa
 
Nashukuru kwa taarifa yako ila naomba source, please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…