klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Sio leo ni kesho. si umeona sheikh katangulia?
Leo sio mwisho wa dunia, ni mwisho wa shehe mtoa ulinzi kwa Jei Kei
yah,! ni kesho na time hii niko baa natafuna bia hapa samaki samaki, wenye hela benki jamani mkazichukue...!:A S 100:hakusema leo, ni kesho Mei 21, 2011
Hope its not end of the World ( judgement day), because it's my birthday and I want to go for a pint on Saturday night.
Leo sio mwisho wa dunia, ni mwisho wa shehe mtoa ulinzi kwa Jei Kei
Leo sio mwisho wa dunia, ni mwisho wa shehe mtoa ulinzi kwa Jei Kei
hahaha... leo tarehe 20.. ijumaa!! usiku huowa nashinda club hadi hadi asubuhi... tehetehe!!! mwisho wa dunia utanikuta siku mbaya ! NIMEZIMA!
Sasa isipokuwa mwisho wa dunia ... bible itakuwa imekosea ..?! maana viongozi wetu wanatoa ushahidi kutoka ndani ya bible! je vipi kuhusu zile nchi tulizopishana nazo siku nzima! mwisho wa dunia kwao utatangulia....!?
Dini bana!...
huyo preacher harold camping anatafuta umaarufu kilazima 1st tyme alisema yesu atarudi.akawachukua wafuac wake kwenda kumpokea na aku apear now kalizusha kubwa kuliko la mwanzo so hy ni kawaida yake kuzusha mambo.