hahaha! .... Basi kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa atayorudi mwana wa adamu....atarudi kama mwivi ajae usiku, basi kama mwenye nyumba angejua ni lini na saa nagpi mwivi angekuja kuvunja nyumba yake angejiandaa... kulikuwa na mfanyibiashara nae akaondoka kwenda safari ya mbali, aliacha maagizo kwa wafanyakazi wake kila mtu akimpa jukumu la kufanya hadi walinzi wake na wala hakuwaambia ni lini na saa ngapi atarejea.. kwa hiyo kuweni macho kama wale watumishi ili bwana wao atakaporudi asiwakute wamelala!