Judgment Day: May 21, 2011 (Really?)

Yaani hapa nilipo natubu jamani siko nyumbani niko naaaaaaaaaaaa! Basi ok kuna yule jamaa ananidai 50m za Obama namwomba anisamehe! hiyo imekula kwake! Aafu mama Eeka Mangi unisamehe maana toka saa ile niliyoaga niko na yule binti! Dah yaani itakuwa baada ya saa 6 usiku ama?
 
tehe tehe tehe tehe teheeeee, mtabiri mwenyewe mzeee, nadhani alikuwa anaweweseka!
 
Teh! Teh! Serengeti Lagel Chupa ya 9 sasa, nasubiri na kitimoto kabisa!
 
bado masaa machache ifike trh 21/05/2011, hapa nimechukua mkwanja wakutosha, leo ni kula bada mpaka basi. Kiama kitanikuta baa, je wewe utakuwa wap? Unafanya nin?

Nimeshaponda kila kitu hata job niliacha last week sasa sijui itakuwaje, nangoja kunyakuliwa
 
mwisho wa dunia utakua ijumaa. Hvyo ndivyo tunavyo amini sisi waislam. So may be next week ijumaa ndo itakua mwisho wa dunia.
 
Jamani ni kweli mwisho wa dunia australia imeteketea yotee ni kweliiii
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ah ahah haaaaaaaaaaaaaaaaa uhuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!
ngoja tusubiri saaa si zipo?? bana
 
huu uvumi umelenga kuwafanya wakristo waonekane kituko mbele ya jamiii..acheni hizo bwana
 
Hakuna any breaking news kutoka AUSTRALIA,JAPAN au CHINA?, maana hawa ndo wa kwanza kuiona tar 21....


Ukute nimebaki mwenyewe tu hapa JF..,

wadau naomba mjibu angalau nijue bado tupo pamoja
 
hv yameandikwa wapi?mlianza na mwisho wa dunia ni 2000,matokeo yake kibwetere aliua watu huku wakijiona .Leo 21 may kunamikesha
 
tobaaa! Ngoja nianze kutubu. Kuna mtu anajua sala ya toba anikumbushe?
 
akuna mtu ajuaye saa wala siku isipokuwa mungu tu pekee hlo hata Yesu alikiri akuna ajuaye siku wala saa dhiki kuu ijafika ndo leo au kesho dunia ikwishe''? Hizo ni ndoto za wale wasiyo lisoma neno la Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…