Judgment Day: May 21, 2011 (Really?)


Mimi naweka imani yangu pembeni nadhani kila mtu au watu wa ana mwisho wao wa dunia na ni siku ile anapokufa.
 
Alietoa hizi habari naomba sana
amwambie Mugu wake asubiri kidogo.. maana nime WIN VOCHER YA LIQUOR store..

Na mi ningependa kumwambia Mungu wangu haongeagi na wala hatoi maneno hovyo kiasi hicho...
 
Hahahah
dahhhhh hakuna mwakAmpya mbaya kama ile sintosahau..mama yuko kule baba yuko wapi sijui ni wewe nawadogo zako mmekumbatiana mnasubiri kufa... dahhhhh
ndoo maana huu upuuzi siupi kipaumbele tena..

What appear to be the end! it could be the new beginning.
 
Hivi ni mwasho wa dunia au wa binadamu, Je, hukumu iwahusu wanyama, miti, ndege na vitu vingine ambavyo sio binadamu?

Maana familly Radio inasema hivi.......SIKU YA HUKUMU inaogopwa na ulimwengu na ni siku ambayo Mungu atauangamiza ulimwengu kwa sababu ya dhambi za mwanadamu.....................
 
Mimi nahisi kuna kitu wanakipigia debe:tonguez:
 
tubwetereke big time. ningependa kujua hiyo tarehe 21 tunafuata time zone ya wapi ili tujue sote tutakuwa tushafika 21 au wengine wetu tutakuwa bado 20 na wengine washafika 22nd. aliyepewa hii taarifa na Mungu wake atujuze ili tuwe tayari kuungama wakati husika hasa tusije poteza udhu tukisubiria kiama!
 
2 Thessalonians 2

1Now we beseech you, brethren, by the coming of our Lord Jesus Christ, and by our gathering together unto him,
2That ye be not soon shaken in mind, or be troubled, neither by spirit, nor by word, nor by letter as from us, as that the day of Christ is at hand.
3Let no man deceive you by any means: for that day shall not come, except there come a falling away first, and that man of sin be revealed, the son of perdition;
4Who opposeth and exalteth himself above all that is called God, or that is worshipped; so that he as God sitteth in the temple of God, shewing himself that he is God.
5Remember ye not, that, when I was yet with you, I told you these things?
6And now ye know what withholdeth that he might be revealed in his time.
7For the mystery of iniquity doth already work: only he who now letteth will let, until he be taken out of the way.
8And then shall that Wicked be revealed, whom the Lord shall consume with the spirit of his mouth, and shall destroy with the brightness of his coming:
9Even him, whose coming is after the working of Satan with all power and signs and lying wonders,
10And with all deceivableness of unrighteousness in them that perish; because they received not the love of the truth, that they might be saved.
11And for this cause God shall send them strong delusion, that they should believe a lie:
12That they all might be damned who believed not the truth, but had pleasure in unrighteousness.
13But we are bound to give thanks alway to God for you, brethren beloved of the Lord, because God hath from the beginning chosen you to salvation through sanctification of the Spirit and belief of the truth:
14Whereunto he called you by our gospel, to the obtaining of the glory of our Lord Jesus Christ.
15Therefore, brethren, stand fast, and hold the traditions which ye have been taught, whether by word, or our epistle.
16Now our Lord Jesus Christ himself, and God, even our Father, which hath loved us, and hath given us everlasting consolation and good hope through grace,
17Comfort your hearts, and stablish you in every good word and work.
 
Kanisa linasubiri siku ya unyakuo (kunyakuliwa) na wala si judgement day. Na siku ya kunyakuliwa inaweza kuwa hata leo, kwa hiyo watu wasichukue nafasi ya kutisha wengine kwa kumtumia Kristo. Tujiandae kwa ajili ya siku ya unyakuo!
 
Angalau nimeshuhudia Manchester United wakivunja rekodi ya Liverpool...!!
 
hawa watu wanaosema mwisho wa dunia ni 21may ni imani yao tuu wanasema eti baible ndo imewaambia hivyo. scientifically hakuna kitu cha kutisha siku hiyo jua litatoka mashariki kama kawaida yake na kutulia magharibi. Na australia watakuwa wa kwaza kuona jua wakienda kulala huko amerika watalipokea kama kawaida. Sasa hawawatu wakiulizwa mbona ikiwa tarehe 21 amerika sehemu nyingine duniani itakuwa tarehe 22 sasa uo mwisho wa dunia utatoka wapi, wakaishiwa maarifa.
Mtazamo wangu aaahh hakuna kitu kitatokea.
2012 angalau tunazo scientific facts kuna vitu 3 vinaweza tokea ambavyo vinaweza kutuletea utata dunia hiii
I) wanasema solour flares Coronal Mass Ejection (CME) from our Sun will reach its critical point na kulipuka lipuka sana kutoka kwa jua. hii ni miale mikali kupindukia itaungusa transfomers kwahiyo umeme utakatika moja kwa moja, magari, computers na vitu vingine vya umeme vitaungua kwa sababu miale ya jua itaviunguza lakini sisi binadamu ukiwa ndani ya nyumba hatutaathirika. hili tukio litarudisha binadamu nyuma miaka ya 1880 manake vitu vingi vya umeme vitaunguzwa na hili tukio
II) Magnetic Pole Shift pole reversals have been happening on average once every 400,000 years, with the most recent one being 730,000 years ago - so we are well overdue. Not only do we not know much about reversals, scientists are still unsure about how our magnetic field is generated. Long thought to be a by-product of the movements of liquid iron in our planet's core, recent studies are suggesting that our salty oceans might be the cause. Scientists suggest a geomagnetic reversal takes thousands of years and does no harm. They are wrong - it could just as easily happen overnight. No mechanism is known for the cause of the magnetic poles swapping places. Our magnetic field is known to be rapidly declining (10% in the last 150 years), and the magnetic North pole is moving around at an accelerating pace - it has been predicted it will move from Canada to Siberia in the next 50 years. These changes could be indicating an imminent reversal.
iii)Crustal Displacement - a physical pole shift. The mechanism is not understood, and most theories are just wild guesses. However it seems quite likely we had one 12,000 years ago, and what goes around, comes around. hili tukio likitokea physicaly ardhi itahama kutoka upande mmoja wa dunia kwenda mwingine, sehemu za baridi zitaenda kwa joto. haya ndo mambo yalitokea last ice age na wanasaynsi wanazani hivi ndo mabara yalijitenga hapo zamani dunia ilikuwa bara moja. hii ikitokea dunia hii itakuwa kama zile stories ulizosikia za motoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…