Pengine unachangamoto ya kipato kisichotosheleza au unachangamoto ya kuwa na kipato endelevu pindi utakapo staafu kazi. Au unawaza kuanzisha biashara ambayo ungependa kuiona inajiendesha hata njee ya uwepo wako, au labda unachangamoto ya jinsi ya kupata mtaji, au pia unapenda kujifunza jinsi ya kuendesha biashara na kuwa mjasiliamali
majibu ya maswali hapo juu yatapatika alhamis pale posta atika jengo la golden jubelee ambapo kutakuwa na event itakayoambatana na training za jinsi ya kuanzisha biashara endelevu jinsi ya kuwekeza muda wako wa ziada ili ukutengenezee kipato cha ziada ya kazi yako jinsi ya kuanzisha biashara endelevu na isiyotegemea uwepo wako muda wote
zaidi ya wasomi 800 kutoka fani mbali mbali na nyanja mbali mbali za uweledi watakuwepo ili kubadilishana mawazo na kushirikishana fursa mbali mbali za kimaisha..
Muda saa kumi na moja na nusu jioni
mahala golden jubilee building apposite pspf tower
siku alhamisi
kiingilio ni ths 5000
kwa maelezo piga 0657088003
nyote mnakaribishwa