NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mashabiki wa Simba sc wanamshangilia Kibu Denis kwa mazuri/juhudi anazozionesha kwenye uwanja wa mazoezi na kusahau kabisa alichokifanya Habibu Kyombo msimu uliopita.
Habibu Kyombo alicheza kwa bidii na kufunga magoli katika mechi za kirafiki lakini linapokuja suala la mechi maalumu aliishia kukaa benchi na waliingia wachezaji ambao hawakuonesha juhudi na kufunga magoli katika mechi za kirafiki.
My take sioni sababu ya kumuimba Kibu Denis katika mechi za kirafiki, ubora wa kibu Denis utaonekana endapo michuano itaanza.